‏ Luke 1:32-33

32 aYeye atakuwa mkuu, naye ataitwa Mwana wa Aliye Juu Sana. Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi baba yake. 33 bAtaimiliki nyumba ya Yakobo milele, na ufalme wake hautakuwa na mwisho.”


Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.