Leviticus 5:11
11 a“ ‘Ikiwa basi, hawezi kupata hua wawili au makinda mawili ya njiwa, ataleta sehemu ya kumi ya efa ▼▼Sehemu ya kumi ya efa ni sawa na kilo moja.
ya unga laini kwa ajili ya sadaka ya dhambi. Kamwe asiweke mafuta wala uvumba juu yake, kwa sababu ni sadaka ya dhambi.
Copyright information for
SwhNEN