Leviticus 26:7-9
7 aMtawafukuza adui zenu, nanyi mtawaua kwa upanga mbele yenu. 8 bWatu wenu watano watafukuza adui mia, watu wenu mia watafukuza adui elfu kumi, nao adui zenu wataanguka kwa upanga mbele yenu.9 c“ ‘Nitawaangalia kwa upendeleo na kuwafanya mzae na kuzidisha idadi yenu, nami nitalishika Agano langu na ninyi.
Copyright information for
SwhNEN