‏ Leviticus 26:31-32

31 aNitaifanya miji yenu kuwa magofu, na kuharibu mahali patakatifu penu pa kuabudia, nami sitapendezwa na harufu nzuri ya sadaka zenu. 32 bNitaiharibu nchi, ili adui zenu watakaokuja kuishi humo washangae.
Copyright information for SwhNEN