‏ Leviticus 26:11-12

11 aNitafanya makao yangu miongoni mwenu, nami sitawachukia. 12 bNitatembea katikati yenu niwe Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu.
Copyright information for SwhNEN