‏ Leviticus 26:1

Thawabu Ya Utii

(Kumbukumbu 7:12-24; 28:1-14)

1 a“ ‘Msijitengenezee sanamu au kusimamisha kinyago cha kuchonga, au mnara, wala jiwe la kuabudia, na pia msijiwekee jiwe lililochongwa katika nchi yenu na kusujudu mbele yake. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.

Copyright information for SwhNEN