Leviticus 24:5-8
5 a“Chukua unga laini, uoke mikate kumi na miwili, ukitumia sehemu mbili za kumi za efa ▼▼Sehemu mbili za kumi za efa ni sawa na kilo mbili.
za unga kwa kila mkate. 6 cIweke katika mistari miwili, kila mstari mikate sita, uiweke mbele za Bwana juu ya meza iliyotengenezwa kwa dhahabu safi. 7 dKando ya kila mstari, weka uvumba safi kama sehemu ya kumbukumbu ili kuwakilisha mikate kuwa sadaka iliyotolewa kwa Bwana kwa kuteketezwa kwa moto. 8 eMikate hii itawekwa mbele za Bwana kila wakati, Sabato baada ya Sabato, kwa niaba ya Waisraeli, kuwa Agano la kudumu.
Copyright information for
SwhNEN