Leviticus 19:36
36 aTumia mizani halali, mawe ya kupimia uzito halali, efa ▼▼Efa kilikuwa kipimo cha vitu vikavu.
halali, na hini ▼▼Hini kilikuwa kipimo cha vitu vimiminika.
halali. Mimi ndimi Bwana Mungu wako, ambaye alikutoa katika nchi ya Misri.
Copyright information for
SwhNEN