‏ Leviticus 19:33-34

33“ ‘Wakati mgeni anaishi pamoja nawe katika nchi yako, usimnyanyase. 34 aMgeni anayeishi pamoja nawe ni lazima umtendee kama mmoja wa wazawa wa nchi yako. Mpende kama unavyojipenda mwenyewe, kwa maana ulikuwa mgeni katika nchi ya Misri. Mimi ndimi Bwana Mungu wako.

Copyright information for SwhNEN