Leviticus 19:11-13
11 a“ ‘Usiibe.“ ‘Usiseme uongo.
“ ‘Msidanganyane.
12 b“ ‘Usiape kwa uongo kwa Jina langu, na hivyo kulinajisi jina la Mungu wako. Mimi ndimi Bwana.
13 c“ ‘Usimdhulumu wala kumwibia jirani yako.
“ ‘Usishikilie mshahara wa kibarua usiku kucha hadi asubuhi.
Copyright information for
SwhNEN