Leviticus 10:3
3 aKisha Mose akamwambia Aroni, “Hili ndilo alilonena Bwana wakati aliposema:
“ ‘Miongoni mwa wale watakaonikaribia
nitajionyesha kuwa mtakatifu;
machoni pa watu wote
nitaheshimiwa.’ ”
Aroni akanyamaza.
Copyright information for
SwhNEN