Lamentations 3:48-51
48 aVijito vya machozi vinatiririka kutoka machoni mwangu,kwa sababu watu wangu wameangamizwa.
49Macho yangu yatatiririka machozi bila kukoma,
bila kupata nafuu,
50 bhadi Bwana atazame chini
kutoka mbinguni na kuona.
51Lile ninaloliona huniletea huzuni nafsini
kwa sababu ya wanawake wote wa mji wangu.
Copyright information for
SwhNEN