Lamentations 2:3
3 aKatika hasira kali amevunja
kila pembe ▼▼Pembe inawakilisha nguvu; pia 2:17.
ya Israeli.
Ameuondoa mkono wake wa kuume
alipokaribia adui.
Amemteketeza Yakobo kama moto uwakao
ule uteketezao kila kitu kinachouzunguka.
Copyright information for
SwhNEN