‏ Lamentations 1:17


17 aSayuni ananyoosha mikono yake,
lakini hakuna yeyote wa kumfariji.
Bwana ametoa amri kwa ajili ya Yakobo
kwamba majirani zake wawe adui zake;
Yerusalemu umekuwa
kitu najisi miongoni mwao.
Copyright information for SwhNEN