‏ Judges 9:4

4 aWakampa shekeli sabini
Shekeli 70 za fedha ni sawa na gramu 800.
za fedha kutoka hekalu la Baal-Berithi, naye Abimeleki akaitumia kuajiri watu ovyo wasiojali, wakawa ndio wafuasi wake.
Copyright information for SwhNEN