‏ Judges 2:11-13

11 aKwa hiyo Waisraeli wakatenda maovu machoni pa Bwana na kuwatumikia Mabaali. 12 bWakamwacha Bwana, Mungu wa baba zao, aliyekuwa amewatoa katika nchi ya Misri. Wakaifuata na kuiabudu miungu mbalimbali ya mataifa yanayowazunguka. Wakamkasirisha Bwana, 13 ckwa sababu walimwacha na kutumikia Baali na Maashtorethi.
Copyright information for SwhNEN