‏ Judges 17:6

6 aKatika siku hizo Israeli hawakuwa na mfalme, kila mmoja akafanya kama alivyoona vyema machoni pake mwenyewe.

Copyright information for SwhNEN