‏ Judges 15:19

19 aBwana akafunua shimo huko Lehi, pakatoka maji. Samsoni alipoyanywa, nguvu zikamrudia na kuhuika. Hivyo chemchemi ile ikaitwa En-Hakore,
En-Hakore maana yake ni Chemchemi ya Aliyeita.
nayo iko mpaka leo huko Lehi.

Copyright information for SwhNEN