‏ Judges 15:15

15 aNdipo akaona mfupa mpya wa taya la punda, akanyoosha mkono, akauchukua na kuua nao Wafilisti wapatao 1,000.

Copyright information for SwhNEN