Jude 3
Dhambi Na Hukumu Ya Watu Wasiomcha Mungu
3 aWapendwa, ingawa nilikuwa ninatamani sana kuwaandikia kuhusu wokovu ambao tunaushiriki sisi sote, niliona imenipasa kuwaandikia na kuwasihi kwamba mwitetee imani iliyokabidhiwa watakatifu kwa nafasi moja itoshayo.
Copyright information for
SwhNEN