‏ Jude 24

Dua Ya Kutakia Heri

24 aKwake yeye awezaye kuwalinda ninyi msianguke na kuwaleta mbele za utukufu wake mkuu bila dosari na kwa furaha ipitayo kiasi:
Copyright information for SwhNEN