Joshua 22:6-7
6 aNdipo Yoshua akawabariki na kuwaaga waende zao, nao wakaenda nyumbani mwao. 7 b(Kwa nusu ya kabila la Manase Mose alikuwa amewapa eneo katika Bashani na ile nusu nyingine ya hilo kabila Yoshua aliwapa eneo upande wa magharibi ya Yordani pamoja na ndugu zao). Yoshua alipowaaga waende zao nyumbani, aliwabariki,
Copyright information for
SwhNEN