‏ Joshua 15:19-21

19 aAkamjibu, “Naomba unifanyie jambo moja la hisani. Kwa kuwa umenipa ardhi huko Negebu, nipe pia chemchemi za maji.” Basi Kalebu akampa chemchemi za juu na za chini.

Miji Ya Yuda

20 bHuu ndio urithi wa kabila la Yuda, ukoo kwa ukoo:

21 cMiji ya kusini kabisa ya kabila la Yuda katika Negebu kuelekea mpaka wa Edomu ilikuwa:

Kabseeli, Ederi, Yaguri,
Copyright information for SwhNEN