‏ Joshua 14:1

Mgawanyo Wa Nchi Magharibi Mwa Yordani

1 aBasi haya ndiyo maeneo Waisraeli waliyopokea kama urithi katika nchi ya Kanaani, ambayo kuhani Eleazari, Yoshua mwana wa Nuni na viongozi wa koo za kabila za Israeli waliwagawia.
Copyright information for SwhNEN