Joshua 11:23
23 aHivyo Yoshua akaiteka nchi hiyo yote kama vile Bwana alivyokuwa amemwagiza Mose, naye Yoshua akawapa Israeli kuwa urithi wao, kulingana na walivyogawanyika katika kabila zao.
Ndipo nchi ikawa na amani bila vita.
Copyright information for
SwhNEN