‏ Joshua 11:1

Wafalme Wa Kaskazini Washindwa

1 aIkawa Yabini mfalme wa Hazori aliposikia habari za mambo haya, akatuma ujumbe kwa Yobabu mfalme wa Madoni, na kwa mfalme wa Shimroni, na kwa mfalme wa Akishafu,
Copyright information for SwhNEN