‏ John 8:4-5

4Wakamwambia Yesu, “Mwalimu, huyu mwanamke amekutwa akizini. 5 aKatika sheria, Mose alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake wa namna hii, mpaka wafe. Sasa wewe wasemaje?”
Copyright information for SwhNEN