‏ John 8:12

Yesu Nuru Ya Ulimwengu

12 aKisha Yesu akasema nao tena akawaambia, “Mimi ni nuru ya ulimwengu. Mtu yeyote akinifuata hatatembea gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.”

Copyright information for SwhNEN