‏ John 7:45

Kutokuamini Kwa Viongozi Wa Wayahudi

45 aHatimaye wale walinzi wa Hekalu wakarudi kwa viongozi wa makuhani na Mafarisayo waliokuwa wamewatuma ili kumkamata Yesu, wakaulizwa, “Mbona hamkumkamata?”

Copyright information for SwhNEN