‏ John 5:8-9

8 aYesu akamwambia, “Inuka! Chukua mkeka wako na uende.” 9 bMara yule mtu akapona, akachukua mkeka wake, akaanza kutembea.

Basi siku hiyo ilikuwa siku ya Sabato.
Copyright information for SwhNEN