‏ John 4:25-26

25 aYule mwanamke akamwambia, “Ninafahamu kwamba Masiya (aitwaye Kristo) anakuja. Yeye akija, atatueleza mambo yote.”

26 bYesu akamwambia, “Mimi ninayezungumza nawe, ndiye.”

Copyright information for SwhNEN