‏ John 3:8-10

8 aUpepo huvuma popote upendapo. Mvumo wake unausikia lakini huwezi ukafahamu utokako wala uendako. Ndivyo ilivyo kwa kila mtu aliyezaliwa na Roho.”

9 bNikodemo akamuuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?”

10 cYesu akamwambia, “Wewe ni mwalimu mashuhuri wa Waisraeli, nawe huelewi mambo haya?
Copyright information for SwhNEN