‏ John 3:14-15

14 aKama vile Mose alivyomwinua yule nyoka kule jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa juu. 15 bIli kila mtu amwaminiye awe na uzima wa milele.

Copyright information for SwhNEN