John 2:19-21
19 aYesu akawajibu, “Libomoeni hili Hekalu, nami nitalijenga tena kwa siku tatu!”20Wale Wayahudi wakamjibu, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arobaini na sita, nawe wasema utalijenga kwa siku tatu?” 21 bLakini yeye Hekalu alilozungumzia ni mwili wake.
Copyright information for
SwhNEN