‏ John 15:14-15

14 aNinyi ni rafiki zangu mkifanya ninayowaamuru. 15 bSiwaiti ninyi watumishi tena, kwa sababu watumishi hawajui bwana wao analofanya, bali nimewaita ninyi rafiki, kwa maana nimewajulisha mambo yote niliyoyasikia kutoka kwa Baba yangu.
Copyright information for SwhNEN