‏ John 11:11-13

11 aBaada ya kusema haya, Yesu akawaambia, “Rafiki yetu Lazaro amelala, lakini naenda kumwamsha.”

12Wanafunzi wakamwambia, “Bwana, kama amelala usingizi ataamka.” 13 bHata hivyo, Yesu alikuwa anazungumzia kuwa Lazaro amekufa, lakini wanafunzi wake hawakuelewa, walidhani kwamba anasema Lazaro amelala usingizi tu.

Copyright information for SwhNEN