‏ John 10:27-29

27 aKondoo wangu huisikia sauti yangu nami nawajua, nao hunifuata, 28 bnami ninawapa uzima wa milele, hawataangamia kamwe wala hakuna mtu atakayewapokonya kutoka mikono yangu. 29 cBaba yangu aliyenipa hawa ni mkuu kuliko wote na hakuna awezaye kuwapokonya kutoka mikononi mwake.
Copyright information for SwhNEN