‏ John 1:4-9

4 aNdani yake ndimo ulimokuwa uzima na huo uzima ulikuwa nuru ya watu. 5 bNuru hungʼaa gizani nalo giza halikuishinda.

6 cAlikuja mtu mmoja aliyetumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana. 7 dAlikuja kama shahidi apate kuishuhudia hiyo nuru, ili kwa kupitia kwake watu wote waweze kuamini. 8 eYeye mwenyewe hakuwa ile nuru, bali alikuja kuishuhudia hiyo nuru. 9 fKwamba nuru halisi, imwangaziayo kila mtu ilikuwa inakuja ulimwenguni.


Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.

Everyone uses cookies. We do too! Cookies are little bits of information stored on your computer which help us give you a better experience. You can find out more by reading the STEPBible cookie policy.