John 1:1-3
Neno Alifanyika Mwili
1 aHapo mwanzo alikuwako Neno, huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. 2 bTangu mwanzo huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu.3 cVitu vyote viliumbwa kwa yeye, wala pasipo yeye hakuna chochote kilichoumbwa ambacho kimeumbwa.
Copyright information for
SwhNEN