‏ Job 9:29-31

29 aKwa kuwa nimeonekana mwenye hatia,
kwa nini basi nitaabishwe bure?
30 bHata kama ningejiosha kwa sabuni
na kutakasa mikono yangu kwa magadi,
31 cwewe ungenitupa kwenye shimo la utelezi
kiasi kwamba hata nguo zangu zingenichukia sana.
Copyright information for SwhNEN