‏ Job 8:8-10


8 a“Ukaulize vizazi vilivyotangulia
na uone baba zao walijifunza nini,
9 bkwa kuwa sisi tumezaliwa jana tu na hatujui lolote,
nazo siku zetu duniani ni kama kivuli tu.
10 cJe, hawatakufundisha na kukueleza?
Je, hawataleta maneno kutoka kwenye kufahamu kwao?
Copyright information for SwhNEN