Job 7:14-17
14 andipo wanitisha kwa ndotona kunitia hofu kwa maono,
15 bhivyo ninachagua kujinyonga na kufa,
kuliko huu mwili wangu.
16 cNinayachukia maisha yangu; nisingetamani kuendelea kuishi.
Niache; siku zangu ni ubatili.
17 d“Mwanadamu ni kitu gani hata umjali kiasi hiki,
kwamba unamtia sana maanani,
Copyright information for
SwhNEN