‏ Job 39:5-6


5 a“Ni nani aliyemwachia punda-mwitu awe huru?
Ni nani aliyezifungua kamba zake?
6 bNimempa nchi isiyokaliwa na watu kuwa masikani yake,
nchi ya chumvi kuwa makao yake.
Copyright information for SwhNEN