Job 39:14-16
14Huyataga mayai yake juu ya ardhi,na kuyaacha yapate joto mchangani,
15 abila kujali kuwa mguu waweza kuyaponda,
kwamba baadhi ya wanyama wa porini wanaweza kuyakanyaga.
16 bYeye huyafanyia makinda yake ukatili kama vile si yake;
hajali kwamba taabu yake inaweza ikawa bure,
Copyright information for
SwhNEN