‏ Job 31:2-3

2 aKwa kuwa fungu la mwanadamu ni gani kutoka kwa Mungu juu,
urithi wake kutoka kwa Mungu Mwenye Nguvu Aliye juu?
3 bJe, si uharibifu kwa watu waovu,
maangamizi kwa wale watendao mabaya?
Copyright information for SwhNEN