‏ Job 29:14

14 aNiliivaa haki kama vazi langu;
uadilifu ulikuwa joho langu na kilemba changu.
Copyright information for SwhNEN