Job 27:14-15
14 aHata kama watoto wake watakuwa wengi kiasi gani,
fungu lao ni kuuawa kwa upanga;
wazao wake hawatakuwa kamwe
na chakula cha kuwatosha.
15 bTauni itawazika wale watakaonusurika miongoni mwao,
nao wajane wao hawatawaombolezea.
Copyright information for
SwhNEN