‏ Job 22:12-14


12 a“Je, Mungu hayuko katika mbingu za juu?
Juu kuliko nyota zilizo juu sana!
13 bHivyo wewe wasema, ‘Mungu anajua nini?’
Je, yeye huhukumu katika giza kama hilo?
14 cMawingu mazito ni pazia lake, hivyo hatuoni sisi
atembeapo juu ya anga la dunia.
Copyright information for SwhNEN