Job 20:12-14
12 a“Ingawa uovu ni mtamu kinywani mwake
naye huuficha chini ya ulimi wake,
13 bingawa hawezi kukubali kuuachia uende,
lakini huuweka kinywani mwake.
14 c dHata hivyo chakula chake kitakuwa kichungu tumboni mwake,
nacho kitakuwa sumu kali ya nyoka ndani yake.
Copyright information for
SwhNEN