Job 16:12-14
12 aMambo yote yalikuwa mazuri, lakini alinivunjavunja;amenikamata shingo na kuniponda.
Amenifanya mimi kuwa shabaha yake;
13 bwapiga upinde wake wananizunguka.
Bila huruma, huchoma figo zangu,
na kuimwaga nyongo yangu juu ya nchi.
14 cHuniponda tena na tena;
hunishambulia kama shujaa wa vita.
Copyright information for
SwhNEN